Kenya
News
15 February 2008
Call for expression of interest in the national peace building and dialogue process.
|
read more
|
18 April 2007
Sanaa iko katika mstari wa mbele katika juhudi za kuwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki. Huku wanasiasa wakiwa katika vizingo vyao vya kimangimeza kuhusu ni vipi na lini ambapo jumuiya hii itaanza kuamili na kuzalisha matunda, wasanii, kwa upande wao tayari wameingia kwenye mikiki ya ushirikiano, ambao unajumuisha umangimeza mdogo sana, na tayari wanaonyesha kwamba hili linawezekana. Ukilingsnishs juhudi za wasanii na zile za wanasiasa, unaweza kuona kwamba wasanii wako mbele, chambilecho mmoja wao kutoka Tanzania ambaye aliimba na kusema "Mimi msanii, kioo cha jamii. Mimi naona mbali kwa darubini kali....."
|
read more
|
Archive...
|
|
|