© Dramatool 2008
Sajili (hatua ya 1 katika 2)
Usajili unafanywa bila malipo yoyote. Hata hivyo, ni sharti ukubaliane na masharti yaliyoko hapa chini ili kuweza kujaza fomu yako ya usajili.
Masharti ya usajili
Ingawa wasimamizi na washirikishi wa tovuti hii watafanya jitihada za kuhariri au kuondolea mbali matini yoyote ambayo hayafai kwa haraka iwezekanavyo, ni muhali kupitia kila makala. Kutokana na hayo, unakubali kwamba makala yoyote utakayowasilisha katika kurasa mbali mbali za tovuti hii yatakuwa yamesheheni maoni ya waandishi wake bali si maoni ya wasimamizi, washirikishi au msimamizi wa tovuti (isipokuwa tu makala ambayo yameandikwa na watu hawa) na kutokana na hayo hawatakuwa na uwajibikaji wowote juu yake.
Unakubali kutoandika makala yoyote ambayo ni ya matusi, chafu, yenye dharau, yenye chuki, ya kutisha, ya kuwabagua watu kwa misingi ya mielemeo yao ya kingono, au makala mengine ambayo yanakiuka sheria yoyote inayohusika.Kufanya hivyo kunaweza kupelekea kupatiwa adhabu ya marufuku ya milele (na mhudumu wako wa mtandao kufahamishwa). Anwani mtandao zote zinarekodiwa ili kudumisha masharti haya. Unakubali kwamba wasimamizi, msimamizi mkuu wa tovuti na washirikishi wa tovuti hii wana haki ya kuhariri, kuondoa, au kuhamisha au kufunga mjadala juu ya mada yoyote wakati wowote ule wanaoona kwamba unafaa. Kama mtumiaji wa tovuti hii unakubali kwamba makala yoyote utakayoyaweka hapa yatawekwa kwenye hifadhi. Habari ama makala haya hayatatolewa kwa mtu wa tatu bila idhini yako, ila wasimamizi na msimamizi mkuu wa tovuti wala washirikishi hatawajibika ikiwa kutakuwa na majaribio ya uvamizi wa mtandao ambayo yanaweza kusababisha kupotoshwa kwa habari hii.
Tovuti hii inatumia kuki kuhifadhi habari kwenye tarakilishi unayoitumia. Kuki hizi hazisheheni yoyote kati ya habari ambazo umetoa hapo juu.; zinatumiwa tu kwa minajili ya kuboresha utamu wa uoni wako. Anwani yako ya barua pepe inatumika tu ili kuthibitisha tafsili za kujisajili kwako na neno lako la siri (na kwa kutuma neno la siri jipya ikiwa umelisahau neno lako la siri la sasa).
Kwa kubonyeza kwenye maandishi ”Nakubaliana na masharti haya” hapo chini utakuwa umekubali kuyazingatia masharti haya.
(Msimamizi) Huwezi kusajili akaunti mpya ikiwa bado uko ndani. Toka kwanza kisha urudi hapa.





